Ili kufanikisha harusi lazima bajeti iwe kubwa,je maendeleo nayo vipi!!!

Michango ya harusi inavyo haribu bajeti

Mrembo akijimwaga katika shera

Katika maisha ya sasa watu wanaangalia sana sherehe kuliko maendeleo kuna mambo mengi ya kufanya ili kufanikisha hili lakini watu au jamii huwa hawaliangalii hilo,kwamfano mtu yuko tayari kutoa mchango mkubwa ili mradi aende kwenye sherehe au ilimradi apate  sifa kuwa na yeye katoa kima cha juu..je?kufanya hivi maendeleo nayo yanazidi kuwa wapi??

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: