Harusi za asili zaendeleza mila na utamaduni

Harusi  ni  matokeo  ya  ndoa  ya  watu  wawili  walio  kubaliana  kuishi  pamoja  katika   jamii  kwa  lengo  la  kujenga  familia.

Jamii  mbalimbali  zimekuwa  na  taratibu  za  kusherehesha  shughuli  nzima  ya  harusi   kulingana   na  mila  na  taratibu zao  ambazo  wamekubaliana   kuzifuata.

Hapo  zamani  harusi  za  asili  zilikuwa  zinaendeleza  mila  na  utamaduni  wetu  wa  Afrika,  harusi  hizi  zinakuwa zinakufanya  umjue  mtu  kiundani  pamoja  na  asili  yake,  kuwa  yeye  ni  mtu  wa  wapi  na asili  yao  kiundani  zaidi  kuwa ni  vitu  gani  wanakuwa  wanafanya  katika  sherehe  zao, na  jinsi  ya  uvaaji  wao  kiujumla .

Mathalani  makabila  ya  watu  wa  Pwani wakiandaa  shughuli  nzima  ya  harusi kulingana  na  msimu  wa  mavuno kwa mazao  ya  chakula,  wakiamini  wakati  huo  kuwa  ni  rahisi  kwao  kuepuka  zile  gharama  za  vyakula,  mapambo, nguo  za  kuvaa  za  bwana  harusi na  bibi  harusi.

Harusi  za  asili  ni  tofauti  na  harusi  za  kawaida  kwasababu  harusi  za  asili  hazitumii  garama  kubwa  kama  harusi nyinginezo   maana  wanakuwa  wanavaa  kiasili  pamoja  na  mambo  wanayo  yafanya  yanakuwa  ni  yakiasili.

Bwana harusi akisikiliza misa kanisani siku ya harusi yake

Bwana harusi na mkewe wakiwa kwenye picha ya pamoja

kulingana  na  maendeleo  ya  kisayansi  taratibu  hizo  sasa  zimeachwa  kwa  watu kufuata  usasa  zaidi,,ikiwa  ni  pamoja  na  kusahau  matumizi  zaidi  ya  vitu  vya  asili  katika shughuli   zao  za sherehe..

[DSC00816.JPG]

Bwana harusi na mkewe wakisherekea siku ya harusi

wengi   wameingia   kwenye   usasa   kuweka   vikao   kuchangishana   michango  ya  harusi asilimia kubwa   watu wanakuwa  wanawalazimisha  kuchangia michango  ili  kufanikisha shughuri yao ya harusi au ya sherehe.

https://harusinamaendeleo.files.wordpress.com/2011/08/1.jpg?w=300

watu wakiwa kwenye kikao cha harusi

katika  harusi  za  asili  maendeleo  ilikuwa  inawaleta  watu  pamoja  kulingana  na  uwezo  wao  wa  kifetha  maana walikuwa hawachangii  fetha  kubwa  tofauti na  sasa.

katika harusi za sasa bila kuchangia huwezi kupewa kati na hautaweza kujumuika pamoja na wanaharusi kwasababu hauja changia,katika harusi za kisasa mambo mengi ya hanasa yanakuwa yanatokea kuliko kushughulikia matatizo ya kimsingi katika jamii ,mtu anahiyari kuchangia laki nne kwa ajili ya siku moja badala ya kuchangia mambo ya kijamii ..

                 bi harusi na msimamizi wake wakiwa kwenye vazi la harusi

katika harusi si lazima watu wawe wanavaa shera kunamavazi ambayo mtu anaweza akavaa lakini akaonekana  nathifu na mzuri,,katika harusi mtu unatakiwa uvae kiasili ili watu wajue kuwa kabila lako unavaaje na harusi inakuwa inaendeshwaje,

kama makabila ya kimasai wakiwa sherehe inaendelea lazima waifanye kimila kwamba lazima utakuta kibuyu na ndani yake unakuta pombe.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: