Uchumba wa wema na diamond platnam waleta gumzo

Licha ya kuwepo na furaha kubwa sana kutoka kwa muigizajiĀ  mkongwe wa filamu za kibongo hapa nchini, Wema Sepetu kutokana na kile alichokizungumzia kuwa kama ndoto kwake baada ya kuvalishwa pete ya uchumba na msanii chipukizi wa muziki wa bongo flava, Diamond Platinum hatua hiyo bado imeacha gumzo ndani ya jamii mbalimbali. More